online blogging tips

Thursday, July 30, 2020

TEMBELEA LINKI NA JISAJILI UANZE KUINGIZA KIPATO SASA SIO UONGO NI KWELI

2:41 PM
TEMBELEA LINKI  NA JISAJILI UANZE KUINGIZA KIPATO SASA SIO UONGO NI KWELI
NA : ISNATCH JOHN 

Kupata pesa ukiwa nyumbani ni rahisi sana 

chakufanya ni gusa linki hapo chini na kisha 
     jisajili kwa kutumia facebook , instagram,
     pinterest , na e-mail

   BONYEZA HAPA  PESA SASA
Read More

Wednesday, July 29, 2020

NJIA ZA KUISAMBAZA BLOG KWA HARAKA NA RAHISI

1:00 AM
NJIA ZA KUISAMBAZA BLOG KWA HARAKA NA RAHISI

Katika blog posti ya hapo juu inayohusu maelezo tupo bila picha wala video tunapata kuona picha ndogondogo zinazowakilisha mitandao ya kijamii yaani facebook kuna whatsapp,instagram,gmail,pinterest nk.  

kwa kijana mtundu atagundua kwamba mitandao hii pia huchangia
katika kutangaza blog yake kwa urahisi kwani humuwezesha yeye kutoa taarifa kwa watu wengi ndani ya muda mchache juu ya blog yake kwa kuwatumia linki watu kwenye hiyo mitandao
Read More

NAMNA YA KUTAZAMA POSTI KWENYE BLOG

12:50 AM
NAMNA YA KUTAZAMA POSTI KWENYE BLOG


Baada ya kufuata hatua iliyopita pia kwa waliosahau kwa kutazama
picha hapo juu kuwakumbushia hatua iliyopita .juu ya jina la blog 
kuna maneno ya rangi ya kijani mpauko yalioandikwa kwa kiingereza
yakiwa na maana ya tazama blog yako

Hivyo mtu hupaswa kubofya kitufe hicho ili waweze kutazama blogu yako na pia kupata muda wa kutambua makosa madogodogo
kabla ya kuposti rasmi taarifa yako
Read More

Tuesday, July 7, 2020

JINSI YA KUANZA KUPOSTI TAARIFA KWENYE BLOG YAKO

11:41 PM
JINSI YA KUANZA KUPOSTI TAARIFA  KWENYE BLOG YAKO
Ukiwa  katika   ukurasa wako wa nyumbani wa   blog yako unapata fursa na
wakati wa kuweza kutupia habari,taarifa, matukio na makala mbalimbali
katika blog yako na kuwafanya watumiaji wa blogu hiyo kupata taarifa muhimu 
kila wakati  na  baada ya muda mchache

Namna ya kuweza kuposti taarifa  katika blogu yako                        
@kwenye dashibodi ya kushoto  weka posti
@pia katika posti hiyo upande wa kushoto
@bofya kitufe cha rangi ya chungwa  
@kilicho andikwa new posti ili uweze posti


Read More

UKURASA WA BLOGU YAKO WA NYUMBANI BAADA KUFANIKIWA KUTENGENEZA

8:50 PM
UKURASA   WA BLOGU  YAKO WA NYUMBANI  BAADA  KUFANIKIWA  KUTENGENEZA
Habari njema kwa  watanzania  wote  kwa  wale  tuliofanikiwa kufika katiak
hatua hii kwani   hadi   hapo tunakua  tumekamilisha  hatua ya  mwanzo ya
kutengeneza blogu yetu naweza kusema kuwa tumefikia nusu ya safari na
mafanikio yetu kwa ujumla
 @hapo kwenye ukurasa wa nyumbani unaweza kufanya shughuli zote
ikiwamo
@ kuposti  taarifa  mpya
@kuweza ona watumiaji wa blogu yako
@kubadilisha taarifa za mmiliki wa blogu
@kubadili muundo wa kurasa wako
         ..........itaendelea  tena.....
Read More

MWANZO WA KUFUNGUA BLOGU HURU

8:31 PM
MWANZO WA KUFUNGUA BLOGU HURU
Baada ya kufanikiwa kupitia hatua zote muhimu zilizo tajwa hapo awali sasa tunaenda mbele
kwenye   hatua   kubwa    na muhimu  zaidi   kuzidi   hatua   zote   zilizotajwa   hapo mwanzo
kwani  kama   mwilini   basi   hatua   hii   hapa  ndio   moyo   wenyewe  kwani   hatua   hii
inabeba taariifa    muhimu    katika kutengeneza blogu yako

@kwanza  fuata hatua zilizopita ili   uweze   kufika   katika   ukurasa wenye sura
kama  hii hapo juu
@baada  ya hapo  songa mbele fuata na bofya/bonyeza/gusa kitufe  kilichopo
kati ya ukurasa chenye rangi ya chungwa
@kitufe hicho kimeandikwa....create your blog.....
@baada ya  hapo utaletewa fomu ya ujaza  ........ 
Read More

MWANZO WA KUFUNGUA BLOGU

8:09 PM
MWANZO WA KUFUNGUA BLOGU
Ikiwa ni wakati mwingine tena tumekutana kuendeleza darasa letu huru kwa watanzania
ili waweze kupata mafanikio ya mambo yao mbalimbali katika shughuli zao
Taarifa ifuatayo ni hatua muhimu sana inayohitajika ili kufanikisha kufungua blogu
kwa urahisi  hivyo niazimeni akili na macho yenu kwa wakati  huu na kuendelea

@kwanza tembelea ukurasa wa google  kwenye kompyuta yako unayotumia kila
siku
@pili katika hiyo google unatakiwa uingize accounti yako na isome jina la
akaunti yako ya google
@tatu baada ya kuweka hiyo akaunti yako ya google unapaswa uweke sync on
@baada ya hapo sasa unaanza kutumia google ya email akaunti  yako uliyojiunga
hapo mwanzo
@baada ya hapo unaandika linki hii katika google akaunti yake
           www.blogger.com
Alafu unaanza kutafuta kwa kubofya kitufe cha search kwenye skrini yako
Read More

TAARIFA MUHIMU ZINAZOHITAJIKA ILI KUWEZA KUFUNGUA BLOGU

7:50 PM
TAARIFA MUHIMU ZINAZOHITAJIKA  ILI KUWEZA KUFUNGUA BLOGU
Taasisi yetu ya destructors online blogging tips ikiwa ipo katika harakati za kukimbizana na wimbi la ukuaji wa teknolojia tanzania limeendeleza juhudi  zake za kusambaza ujuzi wake ili kuweza kuwasaidia watanzania kutobaki nyuma kwani mambo yanabadilika kuendana na ukuaji wa teknolojia chini kwetu na dunia nzima kwa ujumla na kufanya dunia kuwa kama kijiji sasa
zifuatazo ni taarifa maalumu zinazohitajika ili kumuwezesha mtanzaniakufungua blogu kwa
 urahisi bila shaka na kusuasua

@kwanza mtu anatakiwa awe na miaka 18 na kuendelea
@pili ni vema kama mwanzilishi angekuwa na kompyuta ya kwake
@mtu anatakiwa awe na  email yake moja anayoitumia  pamoja na msimbo wake
@mtu anatakiwa pia awena utaalamu na ujuzi kidogo wa kutumia kompyuta vizuri
@pia blogu inahitaji usiri wa hali ya juu kila mtu atunze taarifa zake mwenyewe
                                        itaendelea tena..............   
Read More

NJIA RAHISI ZA KUTENGENEZA BLOGU KWA MAFANIKIO

7:29 PM
NJIA RAHISI ZA KUTENGENEZA BLOGU KWA MAFANIKIO
 
Karibuni  katika  blog yetu huru ya kitanzania 
blogu hii ndio taasisi  ya kwanza na ya kipekee
yenye kuwafundisha watanzania namna ya 
kutengeneza blogu huru na zenye kuweza kuwapa 
mafanikio kwa wale wote ambao wataweza kutilia 
maanani mafundisho yanayotolewa na taasisi yetu 
ya kitanzania yenye nia njema ya kuweza kuwasaidia
watanzania wote kufaidika na ujuzi huu uliogunduliwa
na taasisi yetu hapa nchini

Read More