JINSI YA KUANZA KUPOSTI TAARIFA KWENYE BLOG YAKO - online blogging tips

Tuesday, July 7, 2020

JINSI YA KUANZA KUPOSTI TAARIFA KWENYE BLOG YAKO

Ukiwa  katika   ukurasa wako wa nyumbani wa   blog yako unapata fursa na
wakati wa kuweza kutupia habari,taarifa, matukio na makala mbalimbali
katika blog yako na kuwafanya watumiaji wa blogu hiyo kupata taarifa muhimu 
kila wakati  na  baada ya muda mchache

Namna ya kuweza kuposti taarifa  katika blogu yako                        
@kwenye dashibodi ya kushoto  weka posti
@pia katika posti hiyo upande wa kushoto
@bofya kitufe cha rangi ya chungwa  
@kilicho andikwa new posti ili uweze posti


2 comments: