NAMNA YA KUTAZAMA POSTI KWENYE BLOG - online blogging tips

Wednesday, July 29, 2020

NAMNA YA KUTAZAMA POSTI KWENYE BLOG



Baada ya kufuata hatua iliyopita pia kwa waliosahau kwa kutazama
picha hapo juu kuwakumbushia hatua iliyopita .juu ya jina la blog 
kuna maneno ya rangi ya kijani mpauko yalioandikwa kwa kiingereza
yakiwa na maana ya tazama blog yako

Hivyo mtu hupaswa kubofya kitufe hicho ili waweze kutazama blogu yako na pia kupata muda wa kutambua makosa madogodogo
kabla ya kuposti rasmi taarifa yako

No comments:

Post a Comment