UKURASA WA BLOGU YAKO WA NYUMBANI BAADA KUFANIKIWA KUTENGENEZA - online blogging tips

Tuesday, July 7, 2020

UKURASA WA BLOGU YAKO WA NYUMBANI BAADA KUFANIKIWA KUTENGENEZA

Habari njema kwa  watanzania  wote  kwa  wale  tuliofanikiwa kufika katiak
hatua hii kwani   hadi   hapo tunakua  tumekamilisha  hatua ya  mwanzo ya
kutengeneza blogu yetu naweza kusema kuwa tumefikia nusu ya safari na
mafanikio yetu kwa ujumla
 @hapo kwenye ukurasa wa nyumbani unaweza kufanya shughuli zote
ikiwamo
@ kuposti  taarifa  mpya
@kuweza ona watumiaji wa blogu yako
@kubadilisha taarifa za mmiliki wa blogu
@kubadili muundo wa kurasa wako
         ..........itaendelea  tena.....

No comments:

Post a Comment