TAARIFA MUHIMU ZINAZOHITAJIKA ILI KUWEZA KUFUNGUA BLOGU - online blogging tips

Tuesday, July 7, 2020

TAARIFA MUHIMU ZINAZOHITAJIKA ILI KUWEZA KUFUNGUA BLOGU

Taasisi yetu ya destructors online blogging tips ikiwa ipo katika harakati za kukimbizana na wimbi la ukuaji wa teknolojia tanzania limeendeleza juhudi  zake za kusambaza ujuzi wake ili kuweza kuwasaidia watanzania kutobaki nyuma kwani mambo yanabadilika kuendana na ukuaji wa teknolojia chini kwetu na dunia nzima kwa ujumla na kufanya dunia kuwa kama kijiji sasa
zifuatazo ni taarifa maalumu zinazohitajika ili kumuwezesha mtanzaniakufungua blogu kwa
 urahisi bila shaka na kusuasua

@kwanza mtu anatakiwa awe na miaka 18 na kuendelea
@pili ni vema kama mwanzilishi angekuwa na kompyuta ya kwake
@mtu anatakiwa awe na  email yake moja anayoitumia  pamoja na msimbo wake
@mtu anatakiwa pia awena utaalamu na ujuzi kidogo wa kutumia kompyuta vizuri
@pia blogu inahitaji usiri wa hali ya juu kila mtu atunze taarifa zake mwenyewe
                                        itaendelea tena..............   

No comments:

Post a Comment