MWANZO WA KUFUNGUA BLOGU - online blogging tips

Tuesday, July 7, 2020

MWANZO WA KUFUNGUA BLOGU

Ikiwa ni wakati mwingine tena tumekutana kuendeleza darasa letu huru kwa watanzania
ili waweze kupata mafanikio ya mambo yao mbalimbali katika shughuli zao
Taarifa ifuatayo ni hatua muhimu sana inayohitajika ili kufanikisha kufungua blogu
kwa urahisi  hivyo niazimeni akili na macho yenu kwa wakati  huu na kuendelea

@kwanza tembelea ukurasa wa google  kwenye kompyuta yako unayotumia kila
siku
@pili katika hiyo google unatakiwa uingize accounti yako na isome jina la
akaunti yako ya google
@tatu baada ya kuweka hiyo akaunti yako ya google unapaswa uweke sync on
@baada ya hapo sasa unaanza kutumia google ya email akaunti  yako uliyojiunga
hapo mwanzo
@baada ya hapo unaandika linki hii katika google akaunti yake
           www.blogger.com
Alafu unaanza kutafuta kwa kubofya kitufe cha search kwenye skrini yako

No comments:

Post a Comment