NJIA ZA KUISAMBAZA BLOG KWA HARAKA NA RAHISI - online blogging tips

Wednesday, July 29, 2020

NJIA ZA KUISAMBAZA BLOG KWA HARAKA NA RAHISI


Katika blog posti ya hapo juu inayohusu maelezo tupo bila picha wala video tunapata kuona picha ndogondogo zinazowakilisha mitandao ya kijamii yaani facebook kuna whatsapp,instagram,gmail,pinterest nk.  

kwa kijana mtundu atagundua kwamba mitandao hii pia huchangia
katika kutangaza blog yake kwa urahisi kwani humuwezesha yeye kutoa taarifa kwa watu wengi ndani ya muda mchache juu ya blog yake kwa kuwatumia linki watu kwenye hiyo mitandao

No comments:

Post a Comment